Kuwa Chama Kikuu cha Ushirika kinachoendeleza wakulima na kutoa elimu na huduma Bora kilimo cha kibiashara.
Kutoa huduma bora za masoko, pembejeo za kilimo, elimu na uwakilishi kwa weledi na ufanisi kwa Vyama vya Ushirika vya Msingi na kukuza Teknolojia kwa maendeleo ya Uchumi Nchini.
Kwa miaka mitano ijayo, ICU Ltd inalenga kuimarisha utoaji huduma kwa vyama wanachama kwa kuanzisha mfuko wa pembejeo ambao utakuwa unawezesha upatikanaji wa pembejeo za kilimo, uimarishaji wa ushiriki katika soko la bidhaa (TMX) kwa mazao ya choroko na dengu, na uunganishaji wa masoko kwa zao la pamba na mpunga. Kuanzisha mfumo wa stakabadhi ya ghala kwa kwa zao la choroko na utoaji wa huduma za shajala na mizani.